Kichong
Mandhari
Kichong ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wachong. Idadi ya wasemaji wa Kichong imehesabiwa kuwa watu 500 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichong iko katika kundi la Kipeariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichong Ilihifadhiwa 11 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kichong katika Glottolog
- lugha ya Kichong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |