Kichokwe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kichokwe (lugha))
Kichokwe ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Angola inayozungumzwa na Wachokwe. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichokwe imehesabiwa kuwa watu 504,000 katika Jamhuri na watu 456,000 nchini Angola. Pia kuna wasemaji 44,200 (1986) nchi ya Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichokwe iko katika kundi la K20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kichokwe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichokwe Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichokwe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cjk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichokwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |