Nenda kwa yaliyomo

Kichepang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichepang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wachepang. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kichepang imehesabiwa kuwa watu 48,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichepang iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichepang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.