Nenda kwa yaliyomo

Kichala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichala ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wachala. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kichala imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichala iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.