Kichadong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichadong ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wahani. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kichadong imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichadong iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichadong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.