Kicampalagian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kicampalagian (pia Kitasing) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wacampalagian kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kicampalagian imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicampalagian iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicampalagian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.