Kibyangsi
Mandhari
Kibyangsi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wabyangsi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibyangsi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 2830. Pia kuna wasemaji 480 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibyangsi iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibyangsi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibyangsi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibyangsi katika Glottolog
- lugha ya Kibyangsi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibyangsi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |