Kibusoa
Mandhari
Kibusoa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabusoa kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibusoa imehesabiwa kuwa watu 2300. Kwa vile Wabusoa wameanza kuacha lugha yao, Kibusoa imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibusoa iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibusoa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibusoa Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibusoa katika Glottolog
- lugha ya Kibusoa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibusoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |