Kibushoong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibushoong ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabushoong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibushoong imehesabiwa kuwa watu 155,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibushoong iko katika kundi la C90.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibushoong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.