Kiburusu
Mandhari
Kiburusu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waburusu kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiburusu imehesabiwa kuwa watu 4350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburusu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiburusu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburusu Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiburusu katika Glottolog
- lugha ya Kiburusu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburusu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |