Nenda kwa yaliyomo

Kiburi si maungwana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiburi si maungwana ni methali ya Kiswahili.

Maana yake ni kwamba mtu mwenye heshima na busara hatakiwi kuwa na kiburi.

Hutumika kusisitiza kuwa mtu muungwana sharti awathamini wenzake na kuwatendea haki na sawa.[1]

  1. Kitula King'ei na Ahmed Ndalu(2014), "Kamusi ya Methali za Kiswahili. Toleo Jipya". EAST AFRICAN EDUCATIONAL PUBLISHERS. Nairobi, Dar es Salaam, Kampala.