Nenda kwa yaliyomo

Kibura-Pabir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibura-Pabir ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabura-Pabir. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibura-Pabir imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibura-Pabir iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibura-Pabir kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.