Kibungku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibungku (pia Kinahina au Kitambuku) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabungku kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibungku imehesabiwa kuwa watu 27,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibungku iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibungku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.