Nenda kwa yaliyomo

Kibundeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibundeli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabundeli. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibundeli imehesabiwa kuwa watu 3,070,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibundeli iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibundeli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.