Kibum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibum (lugha))

Kibum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabum. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibum imehesabiwa kuwa watu 21,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibum iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.