Kibukat
Mandhari
Kibukat ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapenan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibukat imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibukat iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibukat kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibukat Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibukat katika Glottolog
- lugha ya Kibukat kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibukat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |