Kibudza
Mandhari
Kibudza ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabudza. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kibudza imehesabiwa kuwa watu 226,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibudza iko katika kundi la C40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibudza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibudza Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibudza katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bja
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibudza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |