Kibudu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibudu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabudu. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibudu imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibudu iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibudu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.