Kibudong-Budong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibudong-Budong (pia Kitangkou) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabudong-Budong kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibudong-Budong imehesabiwa kuwa watu 70 tu. Kwa vile watoto hawajifunzi lugha, Kibudong-Budong imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibudong-Budong iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibudong-Budong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.