Nenda kwa yaliyomo

Kibrokskat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibrokskat ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabrokskat. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibrokskat imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibrokskat iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibrokskat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.