Kibomboma
Mandhari
Kibomboma ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabomboma. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibomboma imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibomboma iko katika kundi la C40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibomboma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibomboma Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibomboma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bws
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibomboma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |