Kiboloki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiboloki ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waboloki. Idadi ya wasemaji wa Kiboloki imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiboloki iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboloki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.