Kibolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibolo ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wabolo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibolo imehesabiwa kuwa watu 2630. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibolo iko katika kundi la H20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibolo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.