Kibolia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibolia ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo huzungumzwa na Wabolia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibolia imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibolia iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibolia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.