Kiboko (maana)
Mandhari
Kiboko ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Kiboko (mnyama) - spishi ya mnyama anayeishi katika mito.
- Kiboko Kibete - spishi ya kiboko kutoka Afrika ya Magharibi iliyo mdogo sana kuliko kiboko wa kawaida
- Kiboko (chombo) - kifaa kinachotumika kuchapia wakati unapoadhibiwa kwa njia ya kutumia fimbo.
- Kiboko (kushona) - shono la kupamba
- Kiboko (kitu) - kitu kirembo
- Kiboko (lugha) - lugha mbalimbali ambazo huzungumzwa barani Afrika