Nenda kwa yaliyomo

Kiboghom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiboghom ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waboghom. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiboghom imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboghom iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboghom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.