Kibodo (Afrika ya Kati)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibodo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabodo. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibodo imehesabiwa kuwa watu 15 tu. Kwa hiyo lugha hiyo imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibodo iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibodo (Afrika ya Kati) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.