Kibobongko
Mandhari
Kibobongko ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabobongko kwenye visiwa vya Togian na Batu Daka. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibobongko imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibobongko iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibobongko kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibobongko Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibobongko katika Glottolog
- lugha ya Kibobongko kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibobongko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |