Kibirrpayi
Mandhari
Kibirrpayi ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabirrpayi katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibirrpayi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirrpayi kiko katika kundi la Kiyuin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibirrpayi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibirrpayi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibirrpayi katika Glottolog
- lugha ya Kibirrpayi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibirrpayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |