Kibintulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibintulu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabintulu. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibintulu imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibintulu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibintulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.