Kibimba, Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kibimba katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°31′47″N 33°51′50″E / 0.52972°N 33.86389°E / 0.52972; 33.86389

Kibimba ni makazi katika Wilaya ya Bugiri katika Mkoa wa Mashariki huko Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Makazi hayo yako kwenye barabara ya JinjaIgangaBugiri – Tororo, takribani kilomita 45 (maili 28) magharibi mwa Tororo[1] na karibu kilomita 86 (maili 53) mashariki mwa Jinja.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Globefeed.com (17 June 2016). "Distance between Tororo Market, Tororo, Eastern Region, Uganda and Kibimba Primary School, A 109, Bugiri District, Eastern Region, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 17 June 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Globefeed.com (17 June 2016). "Distance between Kibimba Primary School, A 109, Bugiri District, Eastern Region, Uganda and Jinja Town Hall, Gokhale Road, Jinja, Eastern Region, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 17 June 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)