Kibilua
Mandhari
Kibilua ni lugha ya Kisolomon-Katikati nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wabilua kwenye kisiwa cha Vella Lavella. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibilua imehesabiwa kuwa watu 8740.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibilua kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibilua Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibilua katika Glottolog
- lugha ya Kibilua kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibilua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |