Nenda kwa yaliyomo

Kibikol cha Rinconada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibikol ya Rinconada ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabikol. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibikol ya Rinconada imehesabiwa kuwa watu 234,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibikol ya Rinconada iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibikol cha Rinconada kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.