Kibidyara
Mandhari
Kibidyara (pia Kibidjara au Kipitjara) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabidyara katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibidyara ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibidyara kiko katika kundi la Kimariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibidyara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibidyara Archived 27 Septemba 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibidyara katika Glottolog
- lugha ya Kibidyara katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibidyara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |