Kibiak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibiak ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabiak kwenye visiwa vya Biak, Numfor na Mapia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibiak imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiak iko katika kundi la Kibiakiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.