Kibhujel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibhujel (au Kibujhyal) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wabhujel. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibhujel imehesabiwa kuwa watu 27,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhujel iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhujel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.