Kibharia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibharia ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabharia. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibharia imehesabiwa kuwa watu 197,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibharia haijaainishwa. Wataalamu wengine hudai kuwa Kibharia ni lugha ya Kihindi-Kiulaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibharia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.