Kibhalay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibhalay ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhalay. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibhalay imehesabiwa kuwa watu 8670. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhalay iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kuwa lahaja ya lugha moja na Kigowlan na Kigowli.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhalay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.