Kibeti (Kamerun)
Mandhari
Kibeti ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabeti. Idadi ya wasemaji wa Kibeti imehesabiwa kuwa watu milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibeti iko katika kundi la A70.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibeti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibeti Ilihifadhiwa 5 Novemba 2010 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibeti katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/btb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibeti (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |