Kibera (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibera ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabera. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kibera imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibera iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibera (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.