Kibelanda-Viri
Mandhari
Kibelanda-Viri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabelanda. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kibelanda-Viri imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibelanda-Viri iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibelanda-Viri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibelanda-Viri Archived 6 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibelanda-Viri katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bvi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibelanda-Viri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |