Nenda kwa yaliyomo

Kibeembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibeembe ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wabeembe. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibeembe imehesabiwa kuwa watu 3200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibeembe iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibeembe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.