Kibeeke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibeeke ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabeeke. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kibeeke imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibeeke iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibeeke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.