Kibebil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibebil ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabebil. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibebil imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibebil iko katika kundi la A70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibebil kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.