Kibayungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibayungu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabayungu katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kibayungu wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibayungu kiko katika kundi la Kikanyara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibayungu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.