Nenda kwa yaliyomo

Kibatuley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibatuley (pia Kigwataley) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabatuley kwenye visiwa vya Aru na Tanah Besar. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibatuley imehesabiwa kuwa watu 3640. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatuley iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatuley kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.