Kibatui
Jump to navigation
Jump to search
Kibatui (pia Kibaha) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabatui kwenye kisiwa cha Sulawesi. Idadi ya wasemaji wa Kibatui imehesabiwa kuwa watu 2900. Kwa vile Wabatui wengi wameanza kuacha lugha yao, Kibatui imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatui iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kibatui kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibatui
- lugha ya Kibatui katika Glottolog
- lugha ya Kibatui kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibatui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |