Kibatanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibatanga ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabatanga. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibatanga nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibatanga iko katika kundi la A30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.