Kibatak-Karo
Mandhari
Kibatak-Karo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaro kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Karo imehesabiwa kuwa watu 600,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Karo iko katika kundi la Kibatak.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibatak-Karo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibatak-Karo Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibatak-Karo katika Glottolog
- lugha ya Kibatak-Karo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Karo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |