Kibatak-Dairi
Mandhari
Kibatak-Dairi (pia Kipakpak) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadairi kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibatak-Dairi imehesabiwa kuwa watu 1,200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak-Dairi iko katika kundi la Kibatak.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibatak-Dairi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibatak-Dairi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibatak-Dairi katika Glottolog
- lugha ya Kibatak-Dairi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibatak-Dairi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |